Judges 6:6-7

6Waisraeli wakafanywa kuwa maskini sana na Wamidiani, hata Israeli wakamlilia Bwana kuomba msaada.

7 aWaisraeli walipomlilia Bwana kwa sababu ya Wamidiani,
Copyright information for SwhKC